Psalms 10:11-13


11 aAnajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau,
huficha uso wake na haoni kabisa.”


12 bInuka Bwana! Inua mkono wako, Ee Mungu.
Usiwasahau wanyonge.

13 cKwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu?
Kwa nini anajiambia mwenyewe,
“Hataniita nitoe hesabu?”
Copyright information for SwhKC